msaada wa kiufundi samsung galaxy j1

msaada wa kiufundi samsung galaxy j1

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
953
Reaction score
669
msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo aizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa inashida gani jamani simu yenyewa hata mwaka akajamaliza.
 
Kwanza jarbu kuirestore...

Hatua :
1. Toa betri alafu uirudshie tena
2. Press and hold batani hz volume up+home and then Malza na power batani mpaka uone android robot, then release all batani
3. Select sehem imeandikwa wipe/erase data
4. Chagua erase all data

Ikimalza ireboot iache kwa mda imalize

Note: njia hii itafuta data zako zote za kwenye internal memory

Njia ya pili ni kuiflash(kuweka file jingine)
 
Factory reset hiyo sm yako ila utapoteza kila kitu ulichosave ktk sm vitabaki tu vilivyoko ktk memory card.
 
download program inaitwa odn download drivers za samsung uzi add kwenye pc yako af download firmware kuendana na model ya cm yenyewe kisha iflash 100% solved
 
Back
Top Bottom