MSAADA. Custom domain name system (DNS)

MSAADA. Custom domain name system (DNS)

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,180
Reaction score
861
Naombeni msaada namna ya kuset custom domain kwenye blogger baada ya kuregister domain mpyaa.
 
Nenda katika blogger,setting kisha Custom Domain hapo unaweza maliza mchezo wote, ila kuna utaviona apo utahitaji kuviweka kwenye domain yako,
 
Nenda katika blogger,setting kisha Custom Domain hapo unaweza maliza mchezo wote, ila kuna utaviona apo utahitaji kuviweka kwenye domain yako,
Sawa bro
 
Example kama una blog... Ukitaka kuondoa blogspot kwenye domain..
Utakachokieka instead of ___.blogspot.com. Kinaitwa custom domain ambayo inaeza kuwa www.example.com instead of www.example.blogspot.com
sasa si ndo main domain mkuu, kwamba unatumia jina lako independently na unalipita website yako? inshort unashift from bog into your own web! nimekupata, naomba niongezee swali hapo vipi haina negative effect maana google blogger wanakua na info zako? how about security please hao google wasije nisumbua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom