Msaada wa kifundi samsung J1

Msaada wa kifundi samsung J1

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
953
Reaction score
669
Msaada wanajamvi smartphone yangu ya samsung nikiwasha inaanza proccess zote za kuwaka ikifika kwenye hatua ambayo screen inaonyesha neno sangsung basi ina baki hivyohivyo haizimi wala kuendelea ila inabaki hivyo hivyo ikiandika neno samsung itakuwa ina shida gani jamani? Simu yenyewe hata mwaka haijamaliza.
 
wadau nashukuru kwa mawazo yenu kwani yamenisaidi kupata mwangaza wa kutatua tatizo langu bila kwenda kwa fundi.ni vema niwashirikishe na nyie ili msije mkaliwa na mafundi kumbe ishu ni ndogo ya dakika tano tu.Nilichofanya ni kama ifuaatavyo.
tep by step process for Samsung galaxy J1 Hard Reset
1) Switch off the mobile and wait about 10sec to 15sec.

2) This is important point for hard reset the Samsung galaxy J1 mobile. Just keep the volume (+) press the power button. Keep it all same time around 10 sec.

3) Now you are able to face a new interface that is android recovery option. It’s your point; in this interface you are able to see a list of menu items.

4) From the menu items you should select wife data/ factory reset and press power button for confirm it.


Samsung galaxy J1 Hard Reset
5) On the next steps the android recovery option want form you conformation you want to factory reset your android device? If you select “Yes” then all data will delete form your mobile.

6) Wait some time work is running after done the factory reset the phone again show android recovery option; now you should select reboot the mobile via volume (+) or (-). After sleeting press power button and your android device is reboot now
 
Back
Top Bottom