Laptop na amplifier

Laptop na amplifier

Intelsat

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
323
Reaction score
533
wakuu habari za wakati kwanza nianze kwa kusema natambua uwepo wa google kama helpfull search engine ya vitu pamoja na tutorials video ktk youtube sasa usiniambie niulize au kutazama google, wakuu shida yangu kuu ni kutaka kujua namna ya kuunganishi amplifier na laptop naona amplifier sioni hdmi ports na laptop yangu haina av ports ni hdmi ports na usb ports tu nifanyaje wadau:?
 
20160803_195720.jpg
Kanunue hii kitu sijui inaitwaje (kuna duka linaitwa KDV) halafu chomeka hiyo kitu upande wa laptop pale unapochomeka headphones.
 
Back
Top Bottom