Special thread #Java Programming language

Special thread #Java Programming language

nethighlife

Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
55
Reaction score
22
Kwema ndugu zangu!
Napenda tuutumie huu uzi kujifunza java, for biginer's, experienced na senior wa java tusaidiane kutatua changamoto mbalimbali kuhusu kuandika code za java, solving different problems and the best method applied to solve the problems.
Material na site nzuri zenye resource nzuri za kujifunda java katika sub topics za java, data structure and algorithm, classes, arrays etc.
 
Java bhana!!
 
Jinsi ya kufanya maandishi yatoe sauti kwa kutumia java. Text to speech.
Kwanza kabisa unatakiwa uwe na library ya freetts ambayo unaweza pata kwenye source forge website.
Code:
import com.sun.speech.freetts.Voice;
import com.sun.speech.fteetts.VoiceManager;
public class text2speech{
public static void main(String[ ] args){
Voice myvoice;// object for accessing the methods to manipulate the voice.
VoiceManager myvoicemanager=VoiceManager.get instance();// for voice selection.
myvoice=myvoicemanager.getVoice("kelvin16"); //calling the method which selects a sound name to be used.
myvoice.allocate( ) //calling a method for starting  texts manipulating. 
myvoice.speak("hellow all members of this forum");
} //end main method
} //end class text2speech
 
Back
Top Bottom