lucas more
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 108
- 27
Naombeni msaada wana JF nmepata mtu anauza laptop used mackbook (16 gb) kwa sh laki nne na nusu pia zipo mpya anauza 1million na kaniambia yupo USA. Cha kushangaza namba yake ya simu inaanzia +254 ambapo hii code ni ya Kenya. Na kanambia naweza tuma kupitia western union au mpesa na mzigo utatumwa through shipping within 48hrs. Facebook anatumia jina la mohammad fakhri. Lakini bado cjamwamini ebu naombeni msaada kuhusu hili nisije nikaliwa bure [emoji3][emoji3]