Game za kucheza kutumia tv zinaitwaje?

Game za kucheza kutumia tv zinaitwaje?

Tamama

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2016
Posts
887
Reaction score
1,107
Habari wakuu

Naomba kusaidiwa kujua, kuna hizi game ambazo huchezwa kupitia TV aidha mko wawili kwa maana ya kushindana au kuchezwa na mtu mmoja

Kwanza zinaitwaje, zinapatikana wapi na huwa ina range kwenye kiasi gani cha fedha

Nahitaji kwa ajili ya mtoto wangu
 
kama ni mtoto kwanini usimnunulie handheld game kama psp? zinapatikana chini ya 100,000.

game za tv ni kifaa chochote cha game hata desktop unaweza tumia ilimradi kiwe na sehemu ya kuchomeka waya kwenda kwenye tv.

zipo console bei inarange kuanzia 150,000 hivi kwa playstation 2 hadi kwenye laki 4 hivi kwa playstation 3.

unaweza pia ukatafuta desktop yoyote yenye hdmi ukaconect na tv ukafanya kama ndio game console yako.

pia unaweza tumia simu kama game console
 
Back
Top Bottom