Msaada ant-virus kwa windows 7

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
371
Wana body habari zenu, heshima kwenu sana ,nimelazimika kukimbilia jukwaa Hili kwaajili ya msaada nahitaji Ku download ant virus ambayo itakuwa nzuri kwa windows 7 Ultimate pia naomba na link pa Ku download hapo awali nilikuwa natuma kickass sasa yamenikuta mwenzenu

Asanteni.
 
Wana body habari zenu, heshima kwenu sana ,nimelazimika kukimbilia jukwaa Hili kwaajili ya msaada nahitaji Ku download ant virus ambayo itakuwa nzuri kwa windows 7 Ultimate pia naomba na link pa Ku download hapo awali nilikuwa natuma kickass sasa yamenikuta mwenzenu

Asanteni.


Kwa mtazamo wangu nshatumia antivirus nying sana kila antivirus ina weakness na strength zanke mfano kuna baadh ya virus kama autorun alie komaa ana uki weka avast anaiuwa antivirus but Kaspersky Antivirus inam toa napia kuna baadhi ya virus ambao avast itatoa lkn karspersky inashindwa kuwa toa notorn itatoa lkn Avira itashindwa pia kama ipo bkra zaid kuliko zote uki weka antvirus mbili kwwnye mashine 1 kila moja itarwport nyenzake kama virus so kwa uelewa wang mdogo cjajua ntakuashaur utumia ip cause me huwa na na changanya changanya antivirus en ubora waantivirus utadepend na coder waio antivirus kaweka symbol ngap za virus amabao wanakuwa detected amean kalist ni virus wangap wawe detected na antivirus yake so ikitokea new virus na kwenue list ya antivirus haimo code ya detection yake mafile yako yataliwatu wat is important ni kuwa na antivirus nzur na kuwa unai update kila mara inapoomba update il iweze kuongeza list of new upcoming virus types ino takiwa kiz detect mkuu that is what i understand thanks
 
kwa mtazamo wangu nshatumia antivirus nying sana kila antivirus ina weakness na strength zanke mfano kuna baadh ya virus kama autorun alie komaa ana uki weka avast anaiuwa antivirus but Kaspersky Antivirus inam toa napia kuna baadhi ya virus ambao avast itatoa lkn karspersky inashindwa kuwa toa notorn itatoa lkn Avira itashindwa pia kama ipo bkra zaid kuliko zote uki weka antvirus mbili kwwnye mashine 1 kila moja itarwport nyenzake kama virus so kwa uelewa wang mdogo cjajua ntakuashaur utumia ip cause me huwa na na changanya changanya antivirus en ubora waantivirus utadepend na coder waio antivirus kaweka symbol ngap za virus amabao wanakuwa detected amean kalist ni virus wangap wawe detected na antivirus yake so ikitokea new virus na kwenue list ya antivirus haimo code ya detection yake mafile yako yataliwatu wat is important ni kuwa na antivirus nzur na kuwa unai update kila mara inapoomba update il iweze kuongeza list of new upcoming virus types ino takiwa kiz detect mkuu that is what i understand thanks
Thanks a lot, maelezo Yako yamenipa hatua Fulani. Great
 
Back
Top Bottom