Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Nimekumbana na tatizo hili kwenye pc yangu linaniletea tu message hii "settings.ini is being used by another process. Close other program" naomba msaada wenu wadau
window 7 mkuuunatumia window gani mkuu.
Settings.ini is being used by another process.
fuata hayo maelekezo yanaweza kukusaidia.
nikiwasha laptopkuna wakati unakuwa unafunga program lakini kinachofungika ni ui tu ila program inakuwa inafanya kazi chini kwa chini. mfano unaweza ukafunga dashboard lakini kumbe haijafungika ukifungua dashboard nyengine itakwambia modem is in use with other process.
hivyo hapo cha kufanya
-tambua hio error hutokea ukifanya nini
-bonyeza ctrl na alt na delete kwa pamoja chagua task manager, njia nyengine right click toolbar yako halafu chagua task manager
-tafuta process ya hio app ambayo inaleta error halafu ifunge
inamaana kuna app ya kuwekea gadgets ipo active, kumbuka ni app gani ulieka ya namna hio then nenda task manager force close.nikiwasha laptop
nikitaka kuweka desktop background
nikitaka kuweka gadgets