Msaada wa video making tool kwa beginners

Msaada wa video making tool kwa beginners

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,179
naomba msaada Wa kuckrack easy video maker 5.26 au software yoyote ya kuedit video nzuri kwa beginner ilimradi isiwe trial version..

natanguliza shukrani.
 
Katika video edit sizani kama after effects....kama unaanza anza na movie maker...i google ni free!!! Ukiwa serious uanze pia kuputia after effects...angalia video zake kwenye youtube!!!

Nb hakikisha uwe na pc yenye nguvu
 
begginer anza na movie maker ya microsoft ni bure
Mkuu Chief-Mkwawa ninayo hii but inanisumbua wakati Wa mwisho kabisa nikitaka kusave video inagoma inaandika hivi..

"Windows Movie Maker cannot save the movie to the specified location. Verify that the original source files used in your movie are still available, that the saving location is still available, and that there is enough free disk space available, and then try again.".
 
halafu nikicheki space ya movie ni mb 650 na disk yangu ina 6gb+ free hapo ndio nikachoka
 
halafu nikicheki space ya movie ni mb 650 na disk yangu ina 6gb+ free hapo ndio nikachoka
1. jaribu video fupi yenye mb chache kama vile mb 10 hivi

2. jaribu kubadili source file huenda kuna mafile movie maker haiyakubali.

pia kama una win 8 au 10 nenda store video editor za bure zipo nyingi tu
 
nimejaribu video fupi yenye mb 50 imekubali...

but sasa kazi yangu ni kubwa...ngoja nipekue huko store...natumia window 8
 
Back
Top Bottom