Catherini
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 390
- 148
Simu uangu ya Huawei G6 - U10 ina limitation ya kuinstall apps mpaka 1070 mb tu, hata kama simu ina nafasi ya kuweka vitu vingine ie media, documents etc ya more than 1gb, lakini apps mwisho ni limit niliyotaja hapo juu..
Kwa maneno mengine siwezi ku install apps beyond 1070 mb hata kama simu ina free space ya 2 gb.
JE nafanyaje kuongeza uwezo wa ku-indtall apps zaidi? Msaada tafadhali
Kwa maneno mengine siwezi ku install apps beyond 1070 mb hata kama simu ina free space ya 2 gb.
JE nafanyaje kuongeza uwezo wa ku-indtall apps zaidi? Msaada tafadhali