mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Habari wakuu kuna simu hapa tecno L8 ina hii cable inaitwa OTG sasa swali langu naweza kutumia modem katika internet,yaan nizime data alafu nitumie modem
Kuna Tab nilikua naona hazina sehemu ya sim card ila zina support OTG hivo wadau wanaweka Modem na wana access Internet bila shida!Nachoitaji kujua nikuwa kinawezekana kitu kama hicho kama inawezekana kivipi yaan