TapaTalk for windows phone

TapaTalk for windows phone

ymollel

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
3,095
Reaction score
2,294
Hii tatizo la tapatalk kutokuwepo kwenye App Store naona lina impact kwa wale walioUnistall hii app hawataoweza kuipata kwenye AppStore.

Na endapo utaiDownload kutoka Kwenye website ya tapatalk, basi inakuwa na Buggs kama vile settings hazikubali kusave, pia huwezi kuReply wala kuCreate wala KuRespond kwenye thread yoyote.
 
Mkuu mimi pia niliunistall wakati naupgrade os yangu kwenda WP10. Hamad kurudi store kuitafuta nikaikosa, nikakuta haipo listed.

Ila kiuhalisia inaonekana bado ipo katika database za WP market. Kwani niliingia hapa Download Tapatalk Classic 2.0.1.50 XAP File for Windows Phone - Appx4Fun kwa hao jamaa kudownload, na nilichagua WP market mirror.

Nikawa directed to WP store. Na WP store ikapop up na hatimaye nika jipakulia.

So ingia hapa utaipata tapatalk.


Download Tapatalk Classic 2.0.1.50 XAP File for Windows Phone - Appx4Fun
 
pale kwenye store kuna application nyingine kam a hiyo inaitwaMtalk

Nimeichukua hiyo app, ila inafanya ndivyo sivyo. Haikuruhusu kulogin. Pia, hii Mtalk inakubali wa wenye WP10, haikubali kwa walio katika versions za nyuma za windows phone OS
 
Back
Top Bottom