ally kitupe
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 259
- 218
Download manager ni andoid ambaye anashugulika na kudownload ktk simu yako ivyo pale anapoblokiwa uwa simu inaandika unfortunately google playstore stoped ili neno utokea mara kwa mara ktk simu ivyo basi kama simu yako inatatizo ilo unatakiwa uwai keset kabla halijakuwa clonic itakubidi uende kwenye setting chagua application manager nenda kwenye all kisha tafuta application imeandikwa download manager iweke enable kama tatizo linaendelea basi unatakiwa kuiboot simu faster mana ukichelewa itakubidi mpaka ukafrash simu yako[emoji106]