Window phone na magame yake

Window phone na magame yake

Baraka sheni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
473
Reaction score
198
Habari wanajamvi, naomba mnisaidie majina ya magame makali yanayo patikana katika windows phone.
 
football sana sana ni dream league soccer, fifa na real football, lipo pia pes 12 sema simu yako itabidi iwe developer unlocked kueka hilo pes

kwa magari zuri zaidi ni asphalt pia lipo gt racing, pia angali angalia na games za ae kama ae 3d moto

kwa bunduki angalia games kama modern combat, dead trigger na overkill
 
Developer unlocked ndio ipi mkuu manake natakuitoa sadaka my lumia535 kwani nishapata ingine
 
unaweza kudownload apps nje ya store
Xo haina procedure. Ndefu Na ngumu kuifanya hii kitu manake kwa android nishajua kufanya rooting Na iliniwezesha kufanyaa mambo mengi Kama. Kutumia wasap mbili simu moja kupakua apps bure ambazo Ni za kulipia kwenye play store ya gugo
 
hata wp ipo whatsapp mbili na kupakua apps za kulipia bure lakini hio whatsapp haipo stable sana.

procedure zake nu kujisajili tu sema inataka uwe na sdk kwenye computer yako
 
Back
Top Bottom