Mtanange; Lumia 950xl vs iphone 6s+ vs galaxy s7

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Wakuu nimepata offer ya kuchagua simu moja wapo kama zawadi, ingawa sijawahi tumia hizo simu zaidi ya kuziona kwa watu.
Kwa wazoefu wa hizo simu naomba mnisaidie ni simu gani bora na yenye mvuto Iphone 6s+, lumia 950xl na galaxy s7

CC CHIEF MKWAWA
 
Mkuu
iPhone Ndiyo Yenyewe Tatizo Ni Moja Kwa Hii Hali Ujue Hiyo Haikubali Kifurushi Cha 500
Bora Uichue Samsung Maana Hadi Mb 10 Twende Kazi
Ni Mtazamo Wangu Tu.
 
tukiacha na swala la kifurushi je??
 
Mkuu
iPhone Ndiyo Yenyewe Tatizo Ni Moja Kwa Hii Hali Ujue Hiyo Haikubali Kifurushi Cha 500
Bora Uichue Samsung Maana Hadi Mb 10 Twende Kazi
Ni Mtazamo Wangu Tu.
Serious, naomba unipe superiority ya Iphone 6 to Samsung s7. haya mambo ni mageni jamani usishangae sijui
 
Mkuu
iPhone Ndiyo Yenyewe Tatizo Ni Moja Kwa Hii Hali Ujue Hiyo Haikubali Kifurushi Cha 500
Bora Uichue Samsung Maana Hadi Mb 10 Twende Kazi
Ni Mtazamo Wangu Tu.
Kumbe iphone ndo zipo hvyo acha tu niwe team samsung maisha
 
Mkuu chukua iPhone 6s ni simu kali zaidi ya zote,mpaka sasa haina mpinzani. Kuanzia bei mpaka ubora wake. Ni simu yenue heshima sio kila mtu anaweza kuimiliki.
Unaweza kuibiwa na kuipata bila tatizo lolote
 
Mkuu
iPhone Ndiyo Yenyewe Tatizo Ni Moja Kwa Hii Hali Ujue Hiyo Haikubali Kifurushi Cha 500
Bora Uichue Samsung Maana Hadi Mb 10 Twende Kazi
Ni Mtazamo Wangu Tu.

Mbona yangu haiko hivyo? Na sio simu inayoungwa bando ila ni simcard ndio inaungwa bando.
 
mkuu hizo simu zote zinatumia operating tofauti. hapo ni kati ya windows 10 mobile vs android vs ios. kama hujawahi tumia ios wala windows mobile nakushauri tu nenda android.

kuhusu hardware s7 ndio ina hardware kali zaidi hapo, ila lumia 950 nayo itakuwa na camera nzuri na iris scaner.
 
mkuu nimetumia window lumia 540, ofcoz ni nzuri ila sijatumia ios, nataka simu ambayo not much popular afu hata nikiichoka naweza iuza bila hasara kubwa
 
ni simu gani bora na yenye mvuto Iphone 6s+, lumia 950xl na galaxy s7

CC CHIEF MKWAWA

Pia kama ukiwa na iPhone itakupa show off zisizo za kujitakia, when u hold an iPhone every modern man knows u gat apple product, it's so unique. ila samsung haiko unique kiivo, inaresemble na mobile phones zingine kibao tu excluding apple. Thou technically zote ni latest na zinafanya vizuri in terms of performance, camera quality, battery life and so forth.
 
kweli mkuu, vipi kuhusu microsoft 950xl? kwani nayo huiwezi iona mjini hovyohovyo
 
hahahaha

Natumia window mkuu, naona ngumu kuhamaa, ngoja nijaribu ios
Ila Wew kama sio mtu wa mambo mengi sana just go with iOS, ila kama ni mtu wa kuiengage smartphone with a lot of stuffs and other mobile devices i suggest u go with samsung!
 
mkuu nimetumia window lumia 540, ofcoz ni nzuri ila sijatumia ios, nataka simu ambayo not much popular afu hata nikiichoka naweza iuza bila hasara kubwa
kwa resale value iphone wapo vizuri angalia bei za galaxy s5/note 4 na bei za iphone 6/6 plus utaona jinsi samsung zinavyoshuka thamani mapema, zote ni flagship za hayo makampuni mwaka 2014.
 
Pia kama ukiwa na iPhone itakupa show off zisizo za kujitakia, when u hold an iPhone every modern man knows u gat apple product, it's so unique. ila samsung haiko unique kiivo, inaresemble na mobile phones zingine kibao tu excluding apple. Thou technically zote ni latest na zinafanya vizuri in terms of performance, camera quality, battery life and so forth.
hapana mkuu kuanzia galaxy s6 kuja note 5 hadi s7 na note 7 flagship za samsung zipo unique na pengine ndio simu zenye muonekano mzuri zaidi,
Galaxy-S7-Edge-vs-iPhone-6s-plus-10of18-840x473.jpg

Galaxy-S7-first-look-1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom