ally kitupe
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 259
- 218
Siku za kalibuni asilimia 90 ya simu zenye antivirus zimepatwa naatatizo mbalimbali ikiwemo kuzima kustack nk
KWANN ANTIVIRUS NDIO IWE CHANZO CHA TATIZO IKIWA NDO KINGA?
kila simu ya android imegawanyika sehemu mbili system na slavery(memorycard) ivyo kama simu haina antivirus virus akiingia uwa anakwenda mojakwa moja kwenye slavery (memorycard)ivyo ujikuta yupo huru sana na ushambulia file kama nyimbo au pictures kwa slow sana ivyo uchukua mda sana simu kupatwa na matatizo
KWA SIMU ZENYE ANTIVIRUS
Pindi virus(bad file) anapoingia kwenye simu uwa hawi huru anaanza kupambana na antivirus ikitokea antirus kushindwa pia nayo uwa bad file mbaya zaidi iyo antivirus uwa upande wa system ambao mwongozo wa simu wote uwa uko hii inaweza kusababisha simu kupata shida pindi unapoiwasha sababu ndo wakati wa kupanga file zake inashindwa kuzitambua zile bad file apo ndipo yapoanza matatizo ya kuchelewa kuwaka kustak simu kupoteza uwezo na hata kuzima kabisa