mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,287
- 1,855
Katika pita pita kwenye mitandao nikaingia kupatana ni kakuta hivi kama kwenye screen short hapo chini je hiyo bei yenye usd iko sawa hala tukiachana na maswala ya bei mimi nauliza wataalamu wa graphics, kama vfx,3d modelling and animation upendelea mac au computer yenye atleast 1.5 gb graphic card ya amd au getforce Nvidia
Ila intel ambayo utumika kwenye kompyuta nyingi hata kwenye mac hawashauri sama nataka kujua je kinachoangaliwa zaidi ni kipi kama ni jina au saizi maana nimeona Imac yenye intel hraphic card ya1.5 gb inatumika kwenye modelling na animation vipi hapa naitaji kuelewa