Natafuta kioo cha Display

Natafuta kioo cha Display

JayJay11

Senior Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
136
Reaction score
139
Habari zenu
Simu yangu aina ya Samsung J5 imevujiwa wino kwenye display, natafuta mtaalamu au mahali ambapo wanabadilisha kioo kwa uhakika
Kama yupo anisaidie tafadhali...[emoji22] [emoji22]
 
Nenda sapna posta pale kuna fundi mzuri tu anaitwa mr maloon ukifika pale muulizie utabadilishwa kioo chako
 
Ni kweli wana fundi mnzuri, ila bei duuuh
Au kama vp ukanunue ww kioo pale kko mtaa wa agrey afu utafute fundi wako cheap akuwekee tatizo la mafundi wa kko hawana ujuz wowote wanabadilisha kiujanja ujanja tu
 
Spea zipo mkuu. Wala huna haja ya kusema unatafuta. Maanake ni kwamba umetafuta ukakosa. Nenda sapna au kko. Kwa kariakoo mwenye spea nzuri anaitwa Rich yupo opposite na benk ya Akiba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom