WPM
Member
- Sep 5, 2016
- 19
- 10
Ninamiliki simu aina ya Huawei Y530 na pia nimeiroot. Lengo mahususi la kuiroot ilikua ni kupata fursa ya kupdate android yake kutoka 4.3 to Lollipop or any other latest version.
Lakini nimeshindwa kufanikisha hilo ningeeomba msaada juu ya kufanikisha hilo.
Natanguliza shukurani kwa msaada nitakaopatiwa.
Lakini nimeshindwa kufanikisha hilo ningeeomba msaada juu ya kufanikisha hilo.
Natanguliza shukurani kwa msaada nitakaopatiwa.