Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,072
Wakuu kama ilivuoandikwa hapo juu naomba mnisaidie maana napokea notifikation lakini I cant access them directly...Mf: ninaweza pokea "29 notifications on Jamii forums" lakini niki-tap ili nizione hzo updates sizipati km kwenye pc..Mwenye kufaham anisaidie tafadhali..
Thanx in Advance wakuu..
Thanx in Advance wakuu..