Msada wa kucreat Form kwenye Excel

Msada wa kucreat Form kwenye Excel

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,683
Kuna Form nimepewa nahitaji kuitengeneza kwenye Micro.Excel msaada hatua zake
1473109304445.jpg
 
Unajua nini kwenye computer? Tuanzie hapo
 
Kwa mwenye kujua jinsi ya kutengeneza hiyo Form naomba anisaidie ili leo nipeleke kazini msaada Tafadhari
 
hio ni table na hivyo vibox ndani ni table pia ila ipo ndani ya table

9AsCjd1.jpg

mfano hapo mwanzo nenda insert table halafu eka row nne na column moja(usiongeze column) halafu zikuze ziwe kubwa kama form yako halafu click ndani ya table nenda tena insert table eka column 6 na row 1

angalia hii video
 
Asante chief ngoja nifanye hivyo!
 
Ni rahisi sana kuitengeneza kwa kutumia Ms Office Word ! Otherwise scan and save it as PDF file ready for use !!
 
Kwenye word hivyo single box nimeshindwa kuweka na kutype mbele yake
 
Nenda kwenye INSERT then SHAPES ! Hapo chagua shape yenye umbo la box and then proceed !!
 
Thankx na hilo neno NSSF CO.. hapo juu kabisa nawekaje pia baada ya hiyo table ya kwanza hiyo table ya pili ndogo naiwekaje kabla ya hiyo tble kubwa
 
- Hilo neno si unaweka CURSOR katikati (Centre alignement) na kuchapa.
- Table unayozungumzia tumia option ya shapes ndio itakuwa raisi kwako rather than using insert table option, meaning unainsert kiboksi na kukitanua then unainsert horizontal na vericle line/shapes.
 
- Hilo neno si unaweka CURSOR katikati (Centre alignement) na kuchapa.
- Table unayozungumzia tumia option ya shapes ndio itakuwa raisi kwako rather than using insert table option, meaning unainsert kiboksi na kukitanua then unainsert horizontal na verticle line/shapes.
 
Back
Top Bottom