Wadau Nimeambiwa nitume Signed CV nifanyeje?

Good People

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
938
Reaction score
1,819
Wakuu naomba msaada namna ya Kusign CV Online nimeambiwa nitume signed CV.
 
Sijajua tatizo lako ni nini. Si unaweka sahihi kwenye CV then unascan na kutuma?
 
Mkuu pesa zinaisha nimetoka kuscan Vyeti zaidi ya Saba ambavyo nimeliwa pesa nyingi kwa mwanasheria Ngoja nitatafuta baadaye kwenye youtube kama naweza Ku sign Online.
 
Sign kwenye karatasi then scan, halafu copy hiyo signature uliyo sacan then paste kwenye sehemu unayotaka sign ikae...unaweza kuipunguza kadiri unavyotaka..
Hakikisha una scan kama picha.
 
Mkuu pesa zinaisha nimetoka kuscan Vyeti zaidi ya Saba ambavyo nimeliwa pesa nyingi kwa mwanasheria Ngoja nitatafuta baadaye kwenye youtube kama naweza Ku sign Online.

!
!
Elimu yako tafadhali ili nitoe ushauri stahiki. Vyeti saba? vya ubatizo na kipaimara usingeviscan umepoteza hela bure. Na hicho cha graduation ya dini sio cha muhimu.
 
1.Masters
2.Masters Transcript
3.Degree
4.Degree transcript
5.Advanced level
6Form Four
7.Computer
 
Sign kwenye plain paper kisha ipige picha, hamishia kwenye computer halafu tumia snipping tool kui crop then ui insert kwenye cv yako(word format) too bad nimeshatoka ofisini ningekutumia sample cv
 
Pili unatakiwa kujua ni namna gani ya kuandika cv's ambayo utaweka na signature yako, webgi watakulaumu kwa kuwa unaonekana kama kilazaaa hivi
 
Mkuu pesa zinaisha nimetoka kuscan Vyeti zaidi ya Saba ambavyo nimeliwa pesa nyingi kwa mwanasheria Ngoja nitatafuta baadaye kwenye youtube kama naweza Ku sign Online.

Kwaiyo unaona ni bora ukose kazi kuliko kutoa pesa ya ku scan?
 
We K hakuna unachokijua ungejibu hapa huku ndo kujifunza Mbwa wewe!

!
!
mastaz nyingine bwana...eti haijui iwekeje signature kwenye vyeti vya kutuma kwa email. Eti internal....internal uwe wewe? ukijitahidi sana labda teller, vinginevyo ukagawe chai chai nini na kupeleka mafile boya wewe.
Mastaz iwe na ubongo wa kuku kama huu wako? mastaz ya wapi hiyo mzee hahahahaha dah kuna watu aisee
 
Acha kupanic ndo unasaidiwa hivyo, kwa hizo mastazi za kurithi bora angezikwa nazo tu marehemu. Kifupi ni kwamba zipo kwenye vyeti tu na sio kwa bichwa, labda kama hiyo kazi umeahidiwa mradi vyeti tu.

Usile Mbegu.
 
!
!
mastaz nyingine bwana...eti haijui iwekeje signature kwenye vyeti vya kutuma kwa email. Eti internal....internal uwe wewe? ukijitahidi sana labda teller, vinginevyo ukagawe chai chai nini na kupeleka mafile boya wewe.
Mastaz iwe na ubongo wa kuku kama huu wako? mastaz ya wapi hiyo mzee hahahahaha dah kuna watu aisee
Kwa matendo ya Lipumba anayoyafanya, siwezi kushangaa huyo kifafa kuwa masters
!
!
mastaz nyingine bwana...eti haijui iwekeje signature kwenye vyeti vya kutuma kwa email. Eti internal....internal uwe wewe? ukijitahidi sana labda teller, vinginevyo ukagawe chai chai nini na kupeleka mafile boya wewe.
Mastaz iwe na ubongo wa kuku kama huu wako? mastaz ya wapi hiyo mzee hahahahaha dah kuna watu aisee
Mbona Lipumba ni Profesa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom