Ta-kibombo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 648
- 514
Salam wadau,naomba kujua applications za zenye uwezo wa kutoa sauti nakubaki beat tu kwenye audio kwakutumia simu
OK mkuu asanteAdobe audiation
mkuu hizo hapo si ni computer?. Nadhani mleta mada yeye anataka app ya simuusiangaike ipo fl studio na adobe audition hla nakushaur tafta instrumental ingia hapa instrumental download