Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari ya jumapili wakubwa,hivi naweza kupata smartphone nzur ya bei ya laki mbili,isiwe tecno au itel
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Msaada nina simu yangu galaxy core prime g360p imefungwa inawaka vizuri tatizo haisomi line na inadai activation lock. Mafundi wameishindwa nifanyeje kuifungua
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba kujua site ninayoweza pata series...naitafuta sana series ya rome kuanzia season 2
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Samahan wakuu nahitaji kujua Ipi ni bora zaidi na ipi inafaa kuliko nyingine kati ya sansung galaxy s5 na samsung galaxy j7 kwa ujumla ipi ni nzur kwenye kila kitu kwanzia specification mpka utumiaji
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hii course inatolewa Havard University kupitia mtandaoni (online) na wanafundisha vitopics hivi; -Abstraction, -Algorithms, -Data structures, -Encapsulation, -Resource Management, -Security...
1 Reactions
34 Replies
10K Views
Wadau naomba msaada wa kuupdate simu yangu ya galaxy j7 to marshmallow.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu habari natumia strong 4922 nime URL]change soft wire bado chanel za sony zinaandika scrambled
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Ningependa kujua kama simu aina ya "huawei g730 " ina support " USB OTG". Na kama Hai support, ni njia zipi nitumie kufanya isupport USB OTG?
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Habari wanajamii,Nina Simu tajwa hapo juu niliiroot baada ya muda kama masaa 6 nilibadili line na kuweka laini nyingine nilipoiwasha ikagoma kabisa kuwaka tatizo ni nini naomba ushauri au ndio...
0 Reactions
1 Replies
653 Views
Habari wadau, simu yangu ina tatizo lifuatalo. Nikibonyeza namba za kuhitaji huduma mfano *102# badala ya kuomba salio, inapiga. Ni hivyohivyo kwa huduma nyingine ikiwemo kuingiza vocha. Msaada...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Kuna Mwalimu wa masomo ya sayansi anaweza kunielekeza mahali pa kupata vifaa vya maabara kwa jijini Mbeya?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam nyote. Hope mko salama kabisa wadau. Nimeulizwa swali nami naomba kuliwasilisha kwenu wadau wa Technology. Hivi inawezekana ku-create group la kutumiana message kama la whatsapp lakini...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
We need an Android developer to join our team. If you think you are the one or your relative might qualify, please let them know. Send us email with the details. Find attached image for details...
1 Reactions
7 Replies
882 Views
Mwenye keyboard la laptop natafuta keyboard ya laptop Acer kama inavyo onekana kwenye picha anipe bei mawasiliano ni haya Whatsapp na kawaida by no 0715420098
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana jf anayejua apple ambayo naweza kutumia kublock simu zisiingie wala SMS katika simu ya android
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Nvidia GeForce 750Ti 2GB DDR5 Bei 350k kama uko interested nifate inbox (PM )
0 Reactions
2 Replies
890 Views
Habari, Nina simu nimeletewa kutoka South Africa, ila nikiweka laini ya mtandao wowote wa Tanzania inanialetea meseji "Call not Sent" napotaka kupiga simu au kuangalia salio. Ila kwenye alama ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada simu yangu aina ya sony xperia e3 kila napopiga simu display inakuwa dark (ina sleep) na nakuwa siwezi kukata simu au kufanya lolote hata kama hakuna kizuizi chochote karibu na...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Kuna mtumiaji wa Kali Linux au Metasploit humu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ask linux questions and get answers Here
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom