STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 75
Wadau naomba msaada wa kuupdate simu yangu ya galaxy j7 to marshmallow.
umefikia wapi? umefanya nini na nini?Nimedownload lakini cjafahamu namna ya kuitumia ili kupata update ya marshmallow
Nimedownload smart switch kwenye pc, alafu nikaconect na usb kwenye fone. Nikaifungua smart switch. Smart switch inaonesha kama inaconnect kwa muda kama dk 2 hv baadae inakataa
Njia nyingine ni ipi mkuuHawezi Pata Update Marshmallow maana Hata Haijafika Nchi zetu Hizi labda Njia Nyingine Tofauti na On Air Update
Ingia Sammobile.com uone