hbi
JF-Expert Member
- Feb 6, 2011
- 678
- 298
Habari,
Nina simu nimeletewa kutoka South Africa, ila nikiweka laini ya mtandao wowote wa Tanzania inanialetea meseji "Call not Sent" napotaka kupiga simu au kuangalia salio.
Ila kwenye alama ya mnara inaonesha iko "full". Pia nikiangalia kwenye "Settings", "Mobile Networks" inaleta ujumbe "Insert SIM card to access network services".
Ambaye anajua ufumbuzi wa tatizo hili msaada unahitajika. Asanteni.