Smartphone kali ya bei ya kawaida

Smartphone kali ya bei ya kawaida

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Habari ya jumapili wakubwa,hivi naweza kupata smartphone nzur ya bei ya laki mbili,isiwe tecno au itel
 
Nina j2 yangu naiuza laki 2 bila punguzo mpk sasa ina miez miwili tu tangu niinunue...sababu ya kuuza nimepata nyingine kama zawad ambayo ni S6
 
mkuu nicheki unitumie nione 0718126228
 
Ni laki mbili dukani au

Simu nzuri kwa pesa hiyo mi nakushauri uchukue tecno W4 specs zake ni hizi hapa :-

1GB Ram
16GB Internal Memory
8.0 M.P Back Camera
2.0 M. P Front Camera
1.3 Ghz Quad Core
6.0 Marshmallow Android Version
3G/4G Network
5.0" Display
2500mAh Battery Capacity
200,000 Tsh Price

Ukiwa tayari waweza kuni-pm ni brand new boxed with everything i.e accessories.
 
simu au pambo
 
MKUU Tecno w4 haina uwezo wa 4g ,ina 3g pekee.
 
Back
Top Bottom