Linux special thread

Mahitaji step by step simplified kwa ajili ya kuInstall linux (ubuntu) kama main OS bila ku affect other partitions and data
Kwani kunakuwa na main na sub OS?

Mimi nimeinstall Ubuntu alongside windows iliyokuwepo tayari, na during boot I have GRUB inayoniruhusu niingie kwenye OS yoyote niitakayo kati ya hizo.
Concept ya Main OS sijaelewa inakuwaje.
 
Pengine anataka ubuntu ndio iwe the only os as the host afu zingine zuwe guests through virtual machines softwares

Kama ni hivyo iko simple kwa mtazamo wangu, go to ubuntu.com download iso image ya version unayotaka by now you can get 16.4 bila shaka, then create a Bootable cd kr USB drive and follow the screens zinajieleza kila kitu.

Baada ya installation hakikisha una internet, fungua terminal andika sudo su bonyeza enter itakuuuliza password ya super user weka hiyo halafu andika apt-get update

Baada ya ku update andika apt-get -y install virtual-box

Ikimaliza fungua unity louncher au bonyeza windows key kwenye keyword halafu andika virtual box itatokea hapo fungua hiyo app, fuata maelekezo kwa aina ya os unayotaka kuingiza kama guest

Kimsingi hapa no kitumia virtual machine software kama hiyo virtual box kujaribu os yoyote unayotaka
 
Naomba unielekeze jinsi ya kuinstall oracle jdk sihita open jdk.pia naweza pata wapi source codes za software za Linux?
 
Naomba unielekeze jinsi ya kuinstall oracle jdk sihita open jdk.pia naweza pata wapi source codes za software za Linux?
Code:
apt-add-repository ppa:webupd8team/java
Code:
apt-get update
Code:
apt-get install oracle-java(weka specific v)-installer
mfano
Code:
apt-get install oracle-java8-installer

for root anza na sudo

by the way since openjdk-7 hakuna big difference kati ya openjdk na oracle,infact openjdk ipo maintained na oracle engineers

Secondly
Unataka kucompile mwenye sio,,check website husika inayo provide hiyo software,then download tarball file(tar.gz)
kama unaprefer kudownload via terminal tumia wget command
Code:
wget "url ya iyo package"
NOTE:Utapata source codes only if project husika ni open source au otherwise developers wameamua kutoa!mfano google chrome ina pacha wake chromium,ni open source project,so chromium source codes zipo available but sio chrome
 
Kwani kunakuwa na main na sub OS?

Mimi nimeinstall Ubuntu alongside windows iliyokuwepo tayari, na during boot I have GRUB inayoniruhusu niingie kwenye OS yoyote niitakayo kati ya hizo.
Concept ya Main OS sijaelewa inakuwaje.
Nahitaji Linux iwe main OS. thats all, sitaki kuInstall inside windows
 
Nimejaribu kuinstall ubuntu kwenye pc ambayo ina window 7 imekataa kunipa option ya kuchagua niwe natumia os ipi
 
Nimejaribu kuinstall ubuntu kwenye pc ambayo ina window 7 imekataa kunipa option ya kuchagua niwe natumia os ipi
Kuna uwezekano kipindi unainstall ulieka option ya kudelete kila kitu na kuibakisha Ubuntu tu.
 
je naweza tumia OP mbili kwenye kompyuta moja, yaani window na Linux??
Ndiyo, kipindi unafanya installation ya Ubuntu kuna sehemu itakuuliza Kama unataka kutumia Ubuntu alongside windows 7 au unaweza kufanya disk partition kuchagua partition ambayo utaweka Linux.
 
Kuna uwezekano kipindi unainstall ulieka option ya kudelete kila kitu na kuibakisha Ubuntu tu.
Hapana sikufuta na nikiinstal inaniambia ni boot, pindi nikiboot inawakia window 7 moja kwa moja
 
Natumia cd. Nikiweka cd mwanzoni inakataa il nikishaiwasha ndiyo inanipa option ya kuinstall pamoja na window au yenyewe.
Karibu kutengeneza bootable flashdisk usijekuta hiyo CD labda imechunika.
 
Nimejaribu kuinstall ubuntu kwenye pc ambayo ina window 7 imekataa kunipa option ya kuchagua niwe natumia os ipi
Inakubali, mimi nimeinstall Mint alongside Windows 7 wakati wa kuboot inanipa option ya kuchagua. Tatizo ninaloliona ni files za office mint hazifunguki kwenye Microsoft office.
 
Inakubali, mimi nimeinstall Mint alongside Windows 7 wakati wa kuboot inanipa option ya kuchagua. Tatizo ninaloliona ni files za office mint hazifunguki kwenye Microsoft office.
Hiyo inatokana na extension ya hizo ambazo wewe umesave kwenye hiyo mint zibadili na uandike .docx
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom