Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Anayejua FTA channel za bongo kama zinaweza patikana kwenye Ku anisaidie maujuzi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nime download secure vpn ya tor ila niki connect alafu nikija kwa internet haipatikani nikii disconnet napata internet inakuaje?.
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Habari wapendwa! nimerudi tena najua hapa haliharibiki jambo. compyuta yangu aina ya dell nimeinstall window 7 profesinal haitoi sauti. Naomba mwenye kujua jinsi ya kuirudisha sauti au mwenye...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Nimetengeneza website ila sijatumia wordpress ,joomla,drupal sasa nataka ku migrate ktk word press
0 Reactions
3 Replies
732 Views
Habari zenu wataalam wa gadgets. Ninatumia Windows 10 kwenye pc na nikaunganisha Bluetooth inasearch tu ila haipati devices nyingine yaani inasearch mpaka inafail, nmejaribu kuipdate ila pia...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Ikiwa ni siku chache baada ya kampuni ya Samsung kutangaza kurejeshwa kiwandani kwa simu zake aina ya Samsung Galaxy Note 7, ajali nyingine kubwa imetokea baada ya gari aina ya jeep kuwaka moto...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello JF fans I have a little tip for you today.....!
1 Reactions
2 Replies
909 Views
Tunapenda kuwatangazia kuwa Sasa tumeshusha gharama zetu za application Kwa ajili ya blog, Kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane fasta. Bei ni 35, 000 tu, hii gharama ni pamoja na gharama ya...
0 Reactions
2 Replies
706 Views
Naitaji wadau wataalamu wa taaluma hii wanipe uzoefu / ujuzihapa tunakwenda kuisoma ndani ya bsc.informatics
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Naomba msaada wenu. Kwa yeyote anaejua apk nzuri ya ku hide apps kwa simu ambayo sio rooted naomba anitupie humu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanjf naomben msaada jinsi ya kudownlod movie natumia iphone
0 Reactions
1 Replies
555 Views
Computer yangu iliingia maji saiv inazingua kuwaka nifanyeje jaman
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Wadau tu wazima? Ili kupata link ya Whatsapp ndo unafanyaje? Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Habari wadau, naomba kuuliza je kwa hapa tanzania kampun gan watalaam wa kutengeneza website/blog. Asanteni.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello. Habarini. Nina ps3 model ya mwanzo kabisa model no. CECHA01.Nahitaji fundi ambaye anaweza kuichip ili iweze kucheza games za kudownload za ps3. Kwa mtu ambaye ni fundi wa kuchip kwa mkoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu ipi nzuri kati ya galaxy note 3 N9005 vs galaxy J7?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Brand : HP 15-ac032TX Notebook (M9V12PA) Rangi ya Silver PROCESSOR : 5th Gen Intel Core i3,procesor inaishia na 'U' RAM : 8GB RAM HDD :1TB Window 10 2GB graphics Jamaa anataka nimpe...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu, Nimekuwa nikijaribu kutafuta pc games online, lakini jitihada zangu zimegonga mwamba licha ya kujaribu kudownload kwa kutumia website hizi, kickass.com, skidrowgames.com...
0 Reactions
14 Replies
30K Views
Habar wakuu? leo nimeamka asubuh natak kuperiz mtandaoni nashangaa meingiza modem kwa PC inakataa kusoma mejarbu mara kibao,hat nikifanya dial up inagoma pia.inaandika hivi pc kuwa error...
0 Reactions
1 Replies
641 Views
Habarini members. Nawezaje tengeneza page ya Facebook bila kuwa na Add Friend? au Niwe na kitufe cha follow pekee yake nifanyaje? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Back
Top Bottom