Hello wadau,Tunapenda kuwatangazia kuwa offer za Pawahost dot com bado zinaendelea kwa huduma zifuatazo.
Website Designing+1 year free hosting.
Project Management System-Inayokupa fursa ya...
Wakuu hii Software nilisha install lakini sijawahi kuangalia mpira hata Siku moja lengo lengo langu nicheki Sys ports, bEiN Sports, BT sports Channels lakini inaonesha Al-Jazeera tuu
Nimepitia...
Habari zenu wapendwa..naomba msaada ya kuifanya home theatre yangu iwe inakubali ku play music au video za aina yoyote ile ninazoweka kwenye flash maana sometym zinaplay some tym zinakataa...
habari wanajf nahitaji kila nikiingia whatsapp inaniambia niupdate ila cha ajabu nikiupdate inahitaji wifi je wifi ina washwaje ili niweze kuupdate natumia nokia lumia 525.
Habari za muda waheshimiwa
Hivi hapa kwetu Tanzania sana sana Dar kuna dealers wanauza motor particularly induction motors, size ndogo, kati na kubwa.
Natanguliza shukrani za dhati
Nina mziki wa Sony mini HiFi model GZR999D tatizo ni kwamba nikiongeza sauti unajizima na iyo hali uwa inatokea Mara kwa Mara nakosa data kabisa ya kuenjoy Ila kuna muda una kaa sawa. Msaada...
Amani iwe kwenu..
Nimepata ka tender kadogo hivi ka ku manage social media accounts za kampuni fulani. sasa nataka nioneshe ubunifu ili mpunga uzidi kuwa mwingi si unajua mkulu bado shimo...
Wakuu nimeibiwa kasimu kangu ka kupangusa aina ya huawei.
Nifanyeje ili kafungwe kasitumike tena kabisa au nikapate?
Ninazo imei namba zake.
Msaada please
1.LUCKY PATCHER
Hii inapatikana kwenye websites mbalimbali especially Google unaweza pata APK yake ambayo ukitaka kuInstall
1.nenda settings>unknown sources uziruhusu
2.nenda Install Apk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.