Msaada Huawei y530

Msaada Huawei y530

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Habari wanajamii,Nina Simu tajwa hapo juu niliiroot baada ya muda kama masaa 6 nilibadili line na kuweka laini nyingine nilipoiwasha ikagoma kabisa kuwaka tatizo ni nini naomba ushauri au ndio imekufa kabisa nitafute Simu nyingine
 
Back
Top Bottom