NDUKI
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 3,439
- 2,452
Salaam nyote.
Hope mko salama kabisa wadau. Nimeulizwa swali nami naomba kuliwasilisha kwenu wadau wa Technology.
Hivi inawezekana ku-create group la kutumiana message kama la whatsapp lakini liwe ni la message za kawaida wakuu...?
Najua kuna namna ya kutuma message kwa watu wengi kwa wakati mmoja kutumia msg za kawaida (send to many) kwa kuweka namba za watu uwatakao, ila nahitaji ku-create group na conversations zikaendelea kama kawaida kama whatsapp...?
Najua technology imekua kwa hiyo sio nisichokijua mimi na mwengine hakijui NO.
Wadau najua mna mengi mnafaham nawasilisha wakuu.
Shukran sana.