Samsung galaxy s5 vs samsung galaxy j7

Samsung galaxy s5 vs samsung galaxy j7

Prince_mandela

Senior Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
167
Reaction score
117
Samahan wakuu nahitaji kujua Ipi ni bora zaidi na ipi inafaa kuliko nyingine kati ya sansung galaxy s5 na samsung galaxy j7 kwa ujumla ipi ni nzur kwenye kila kitu kwanzia specification mpka utumiaji
 
Mbona hapo s5 ndio kubwa kwa specs
 
Samahan wakuu nahitaji kujua Ipi ni bora zaidi na ipi inafaa kuliko nyingine kati ya sansung galaxy s5 na samsung galaxy j7 kwa ujumla ipi ni nzur kwenye kila kitu kwanzia specification mpka utumiaji
s5 iko juu mkuu,labda kidogo hiyo j7 waweza ukailinganisha na s4
 
overall s5 ni nzuri kuliko j7 ila kuna mambo j7 ipo vizuri sana kama
-touchwiz mpya ambayo ni nyepesi sana na hailag kama touchwiz za zamani ambazo zipo note 4 kurudi nyuma, hizi j series na A series zinashare same software na note 5, s6, s7 na kuendelea
-battery ya j7 inakaa sana na chaji kuliko s5
-ni mpya ni rahisi kuipata na warranty wakati s5 sana sana utauziwa refurbished na kudanganywa kuwa ni mpya sababu hazitengenezwi tena
 
kwa hiyo chief kwa sasa mbadala wa s5 ni j7
 
ni kwa sababu mmeisifia hiyo j7 ndo maana nikauliza,

hapana nimesema overall s5 ni nzuri soma vizuri comment yangu, nilipoint tu mambo ambayo j7 ni nzuri kuliko s5.

s5 ina vitu kama
-display
-soc (processor/gpu)
-camera
-waterproof
-fingerprint etc

vitu hivyo huwezi vipata kwa ubora wa s5 kwenye j7
 
pamoja sana mtaalam chief mkwawa
 
Back
Top Bottom