Naomba nisaidiwe.

Naomba nisaidiwe.

Hoppity Cywale

Senior Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
126
Reaction score
29
Ningependa kujua kama simu aina ya "huawei g730 " ina support " USB OTG". Na kama Hai support, ni njia zipi nitumie kufanya isupport USB OTG?
 
Kujua kama ina support ingia gsm arena then ucheki kwenye specs kama wameandika ina support usb Host kama hai support sidhani kama kunajinsi ya kuifanya isupport maana sio software bali hiyo ni hardware
 
Back
Top Bottom