Amazon Kindle

Amazon Kindle

zamboni

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
364
Reaction score
180
Msaada, wapi wanauza amazon kindle kwa hapa Dar es salam?
 
Upatikanaji wake ni mgumu kwa Tz

Agiza ebay .com au toka amazon .com ndani ya siku 14 hadi 21 utakuwa umepeta mzigo wako.

Amazon huwa wanaship vitu kuja Tanzania ?
 
Amazon huwa wanaship vitu kuja Tanzania ?
HAPANA, Huwa haiwezekani Ku_ship kuja Tanzania, kama hii picha ionekanavyo:-
Capture.jpg
Ila waweza kutafuta seller ambaye anaweza kutuma tanzania moja kwa moja.


PIA inawezekana iwapo utatumia maelekezo ya kwenye hii Mada: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...unuzi-kwenye-mtandao-ebay-amazon-bestbuy.html

Hitimisho

  • Mleta mada kama hajawahi kuagiza vitu online, kwanza atumie muda kujifunza kupitia thread mbalimbali zilizopo hapa JF.
 
Unahitaji Amazon Kandle??Ninauza mimi
 
Kuna kindle za aina mbili

Kindle reader - za kusomea vitabu nyingi ni black and white na vioo vya e-Ink

Kindle fire - tablet kama ipad yenye kioo cha rangi
 
Kuna kindle za aina mbili

Kindle reader - za kusomea vitabu nyingi ni black and white na vioo vya e-Ink

Kindle fire - tablet kama ipad yenye kioo cha rangi

Nataka kindle reader, paper white na yenye wiFI! isiwe na less than 4gb
 
Aliyekuwa anahitaji kindle ashapata au bado?
Kama Bado ana uhitaji anitafute nimuuzie kindle basic paper white
 
Back
Top Bottom