bado ipo hiyo routerWakuu habari ninaomba mnisaidie jinsi ya kuifanya wifi rooter ya vodacom iwe inatumia line zote,ntashukuru sana kwa msaada
taja model na imeiIpo mkuu
ZTE R206-Z detect and unlock guideR206-Z imei 357549053350059
Nimepitia hapo mkuu ok itahitaji sh ngapi kununua hizo creditZTE R206-Z detect and unlock guide
DC-UNLOCKER watahitaji 7credit.
Ili kuzipata 7credit soma kipengele cha "pay4me" kwenye hii JF link: www.v.ht/buy4me
Utalipia TSH 22,500Nimepitia hapo mkuu ok itahitaji sh ngapi kununua hizo credit