Msaada wakuu! Software ya ku-edit video clips

Ethos

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
2,294
Reaction score
2,094
Amani iwe kwenu..

Nimepata ka tender kadogo hivi ka ku manage social media accounts za kampuni fulani. sasa nataka nioneshe ubunifu ili mpunga uzidi kuwa mwingi si unajua mkulu bado shimo halijatema?

sasa naomba msaada kwa anayefahamu app or software ambayo naweza itumia kwenye windows au chrome ili hii kazi iwe rahisi- kwa ajili ya short clips editing kwa vitangazo vidogo vidogo

Natanguliza shukrani za dhati kabisa

ethos
 
Zipo nyingi ila inategemea na uwezo wa kompyuta na uchumi wako.

1.Adobe Premiere Pro...hii ni kama standard Ya kiofisi ina kila tools zinazohitajika kwa ajili Ya video editing kama vile effects,trimming,audio and video editing tools na exports kwenda kwenye any format or device.
Changamoto Ya software hii ni kwamba inauzwa. Pia, inahitaji some serious memory kwenye compyuta yako kama unafanya kazi kubwa mfano:ku-join clips za video, au kutengeneza video kwa kutumia still images. Pia, inaboreshwa kutokana na graphic card unayotumia. kujifunza Pia kunahitaji muda, hasa kama huna Elimu kabla Ya Adobe softwares.

2. Windows Movie maker...hii ni Ya Microsoft windows, ambayo kuanzia windows 7-10 Itabidi u-download kama separate software via page Ya Microsoft. Hii software ni maarufu kutokana na urahisi wake wa kutumia. Haina vitu vingi, kujifunza ni simple and clear ndani ya siku moja unajikuta unatengeneza clips na export Kwenda kwenye any file format. Pia ni bure.
Kwa sababu hii, changamoto Ya W.movie maker ni kwamba haina tools nyingi, ipo simple sana, so kama ni mtu unayependa control sana kwenye video zako, itakua shida.

3. Wondershare Filmora
Hii ipo kati Ya Adobe Pr. na W.movie maker Pia ipo Ya bure na Ya kununua. Nimetumia sana hii baada Ya kupata matatizo na Movie maker kwenye win8. Ipo faster kama ni mtu unayetaka kutengeneza video kutumia clips ndogo ndogo, Pia ina uwezo wa Kuweka effects kama "sharpen" na ina more control Japo sio kama Adobe Pr. Kujifunza Pia ni rahisi na ipo more fluid, unaweza kufungua icon chache au nyingi zaidi

Enjoy!
 
3. Aurora Movie Maker (kama nimeitaja sawa lakini tumia Google kwa uhakika)
Hii ipo kati Ya Adobe Pr. na W.movie maker Pia ipo Ya bure na Ya kununua. Nimetumia sana hii baada Ya kupata matatizo na Movie maker kwenye win8. Ipo faster kama ni mtu unayetaka kutengeneza video kutumia clips ndogo ndogo, Pia ina uwezo wa Kuweka effects kama "sharpen" na ina more control Japo sio kama Adobe Pr. Kujifunza Pia ni rahisi na ipo more fluid, unaweza kufungua icon chache au nyingi zaidi

Enjoy!
Thanks mkuu... Umenipa mwanga. Nimeiona hiyo moja nikaogopa ku purchase coz sikuwa na uhakika..
 
Adobe Premiere Pro CC 2015 v9.0 + Crack

Fuata hio link, ni full version ya Primiere. Pia kwenye list yako ongeza Wondershare Filmora, yenyewe ina urahisi kwenye utumiaji na rendering yake iko haraka sana kulinganisha na software kubwa za video editing ila udhaifu wake ni limited features.
 
Wadau asanteni mmekuwa msaada sana... Sasa kazi ni simple najichukulia mapoint tuu..
 
Back
Top Bottom