mb zitaenda sawa tu, sababu unachokiangalia ndio kile kile unachokidownload. kama unataka kusave mb download movie za x265 badala ya x264, au vp9 badala ya vp8. sema utahitaji pc au simu yenye uwezo kuangalia x265 na vp9. na katika hii x265 ya 10bit ndio nzuri zaidi. jina jengine la x265 ni HEVC
mfano angalia hapa
Index of /Serial/Into the Badlands/S01/
utaona episode ya 480p ina around 200mb na episode ya 720p x265 nayo vile vile ina around 200mb japo quality imeongezeka.
kwa uzoefu wangu utasave kama mb 200 hadi 300 kwa movie ya x265