6 66KV JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,458 Reaction score 2,824 Aug 7, 2016 #1 Habari za muda waheshimiwa Hivi hapa kwetu Tanzania sana sana Dar kuna dealers wanauza motor particularly induction motors, size ndogo, kati na kubwa. Natanguliza shukrani za dhati
Habari za muda waheshimiwa Hivi hapa kwetu Tanzania sana sana Dar kuna dealers wanauza motor particularly induction motors, size ndogo, kati na kubwa. Natanguliza shukrani za dhati
C J Member Joined Jul 21, 2016 Posts 77 Reaction score 60 Aug 8, 2016 #2 Kuanzia horsepower ngapi unataka? Be specific sambamba na ukubwa wa mzigo unaotaka
6 66KV JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,458 Reaction score 2,824 Sep 17, 2016 Thread starter #3 Nawataka dealers tu nitembelee baada ya hapo ntadecide maana nataka drives mchanganyiko ndogo,medium na kubwa ,nataka kujua tu dealers
Nawataka dealers tu nitembelee baada ya hapo ntadecide maana nataka drives mchanganyiko ndogo,medium na kubwa ,nataka kujua tu dealers