ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 440
- 504
naomba msaada wa keys za visual dj 8 mwenye nazo anisaidie plz
Key itakusumbua sana hutopata.. Tafuta visual dj yenye crack basi..naomba msaada wa keys za visual dj 8 mwenye nazo anisaidie plz
imekataa mkuuMkuu jaribu hiyo, ikikubali ulete mrejesho
RHKG3-8YW4W-4RHJG-83M4Y-7X9GW
zenye crack napata shida kudwnload maana baada ya kudownload zile zipped files nyingi zinahitaji password ambayo inapatikana kwenye surveys kutokana na link ya web itakayotolewa na huyo alietoa crack ya hiyo software ..sasa tatizo kila nikifanya survey huwa inashindikana kupata password za zipped file..wananiambia no survey availableKey itakusumbua sana hutopata.. Tafuta visual dj yenye crack basi..
Chukua hii apa.. Uta install kisha uta close program... Then paste crack files to installation directory.. Kisha unaweza ukaanza kutumia visual dj sasa..zenye crack napata shida kudwnload maana baada ya kudownload zile zipped files nyingi zinahitaji password ambayo inapatikana kwenye surveys kutokana na link ya web itakayotolewa na huyo alietoa crack ya hiyo software ..sasa tatizo kila nikifanya survey huwa inashindikana kupata password za zipped file..wananiambia no survey available
asante mkuu.ubarikiwe sanaaaChukua hii apa.. Uta install kisha uta close program... Then paste crack files to installation directory.. Kisha unaweza ukaanza kutumia visual dj sasa..
Download VirtualDJ Build 3386 Setup rar