mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Nimezunguka mitandao yote kwenye swala la live streaming laini ya vodacom nimewaelewa sana now nacheki chelsea vs liverpool no buffering za kitoto
uko wapi mkuu?Nimezunguka mitandao yote kwenye swala la live streaming laini ya vodacom nimewaelewa sana now nacheki chelsea vs liverpool no buffering za kitotoView attachment 401662View attachment 401663
Kwel kabisa mm mwanzo halotel ilikua fresh mida ya mchana na usiku mnene kuanzia sa 6 usik lkn Voda mda wote no buffer mwanzo mwisho
Morouko wapi mkuu?
sio maeneo yote huwa ni clear kama ulipo/ wakati uliopo.