teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wapendwa kuna tofauti gani kati ya whatsapp nilizotaja hapo juu na nini faida ya kutumia whatsapp GB Naomba kuwasilisha
hujaeleweka mkuuGb ni shiidah inaifanya ionekane unsvopenda ww, I enjoy it...
Mkuu tupe link mkuu... na hiyo number 4 mbona WhatsApp ya kawaida ipo..Inaitwa "GB Whatsapp" sio "whatsapp GB"..
Binafsi natumia zote mbili kwa wakati mmoja.
Faida ya GB Whatsapp ni kuwa.
1. Unaweza ku customise muonekano wa whatsapp yako, yaani kuibadili rangi yoyote unayotaka, tofauti na ile whatsapp ya playstore ambayo inakulazimu uzoee rangi ya kijani.
2. Hakuna Limit ya kutuma picha nyingi kwa pamoja. Yaani mfano ile whatsapp ya kawaida unaweza ku select picha kumi tu ukazituma kwa pamoja. Kwenye GB whatsapp hakuna limit unaweza hata uka select picha mia moja zikaenda kwa pamoja.
3. Kwenye GB whatsapp unaweza kutuma video yenye uzito mkubwa bila tatizo lolote.
4. Nne kuna ki pop up icon kinachotokea kaniambia nani yupo online muda na wewe ukiwa online..
Zipo features nyingi "distinct" na whatsapp ya kawaida ila ki ufupi ni hizo.
Najua nimewaelewesha na wengine ambao hawakuwa wanaifahamu.
Utofauti ni kuwa kina pop out.Mkuu tupe link mkuu... na hiyo number 4 mbona WhatsApp ya kawaida ipo..
http://www.mediafire.com/?j3idtx3l2p2tsa4Wekeni link wakuu
Mkuuu inawezekana nikawa nazo mbili at once mkuu.??? Kwa number moja ile ile..???Utofauti ni kuwa kina pop out.
1. Link by hii hapa. http://www.mediafire.com/?j3idtx3l2p2tsa4
2. Hakikisha umeingia kwenye Settings na Ku allow installation of applications from other sources other than playstore. (Kwa watumiaji wa Android).
Siku njema.
Mkuu mbona inazengua ku install. Nmeenda mpk security afu sioni pa ku install kindly assist..
Asante umejibu vizuri mkuuInaitwa "GB Whatsapp" sio "whatsapp GB"..