Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hello, Naomba kujua gharama za kutengeneza mobile application ,kuna application nataka itenegnezwe ni ya maswala ya kilimo sasa natafuta wanao tengeneza hizo applications za mobile hasa hizi android.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
PesaApp ni app ya simu ambayo itahusika kusaidia ubadilishaji wa aina za fedha online kupitia simu ya mkononi nchini Tanzania na A.M kwa ujumla. Wazo hili limeingia katika shndano la EQUITY...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Wakuu nawasalimu kwa heshima zote Naomba mwenye uelewa wa application ninayoweza kuweka katika simu yangu iniwezeshe wakati nimepigiwa simu inaita niwe na uwezo wa kuendelea na nilichokuwa...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Mimi kuna baadhi ya Mobile Apps ambazo zimetengenezwa na wabongo na nimezikubali, zimekuwa useful kwangu. Kupitia huu Uzi naomba tuziorodheshe mob apps zote bora zilizotengenezwa nyumbani ili...
3 Reactions
34 Replies
9K Views
Habari, Nimejitokeza hapa ili nipate ufafanuzi kuhusu jar protected files. Kuna program ina content ambazo nahitaji kuzi copy kwa ajili ya matumizi binafsi lakini nimegundua kwamba iko protected...
1 Reactions
4 Replies
954 Views
Jamanii we naamini JF apa wamejaa wataalam wa mambo mbali mbali yakiwemo Hays ya sim Nikwamba sim yangu imekua ikinisumbua kuna baadhi ya apps has a za porno ([emoji777] ) zimekuwa ziki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wataalamu habari! mie nina shida la kudownload application ya whatsapp na facebook, kila nikijaribu kudownload nafankiwa kabisa ila pale ninapotakiwa kuweka namba ya simu ,basi inakuja alert ya...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu??nimekuja kwenu kuomba msaada,pc yangu kwa sasa ni mzito sana katika internet,inachukua muda mrefu kufungua page,ina RAM ya 2GB,processor ni 1GHz AMD,natumia google chrome na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Fungua link ya equity bank ya mambo safi kutazama wazo langu la ubunifu na kunipigia kura. Cha kufanya ingia http://tz.equitybankgroup.com/mambosafi/ then juu kuna menu ambapo kuna mimi ni...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu ninaomba msaada wa kutoa network lock ya hii simu ya smartkicka nimemchukulia wife naona kiko locked kutumia voda imei ni 357773065476955 Msaada wa code wakuu
0 Reactions
5 Replies
904 Views
Niende moja kwa moja kwenye swali,je mafile yaliyofanyiwa back up ukiya delet kwenye memori vitu vitafutika? Msaada kwa hilo tafadhali
0 Reactions
3 Replies
638 Views
Habari wakuu, nina kaswali kananitatiza na huwa sielewi Kwenye hii picha, hilo box lilozungushiwa wino wa kijani huwa lina maana gan kwenye opera min, nimejaribu kuingia mara nying huwa naona simu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari Leo nimenunua CD ya 'walking dead' sababu sikuimaliza kabla, Cha kusikitisha nikiiweka kwenye Deki inaload bila mwisho pasipo kuplay, nimebadili CD mbalimbali nikagundua tatizo sio CD bali...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jinsi ya ku by pass google verification on tecno pasipo otg
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Nimepakua na kusimika "window move maker".Lakini nimeshindwa kuanza kuitumia sababu ya lugha iliyomo ktk app hiyo (sijajua ni lugha ya kihispaniora au kifaransa wala mi sijui) na si kiingleza au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Guys mwenye ujanja wa ziada kitu kipya kuhusu kuroot anisaidie maana hii sim ni inshu kuroot nimejaribu njia zote kutoka apps za sim na za computer lakini wapi sana sana sim inaishia kujirestart...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Naomba msaada wenu kwa hili nina simu yangu htc imegoma kupiga kamera ya mbele inapiga nyuma tu.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
We use keyboard every day, be it our desktop, or laptop, or tablet or smartphone. But have you ever wondered as to why the keyboard is not arranged in alphabetical order? The reason goes back to...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau habar zenu? mimi ninachouliza kama kuna umuhimu wowote wa kuupdate window maana wanasema update inasaidia kupata new features lakini ukiachilia mbali hilo pia wanasema ni kuprevent...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello wadau,hivi ni app ama website ipi maalumu ambayo ni nzuri kwa kuweza ku transform picha halisi kwenda katuni.
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…