hao ni malware wa adware kuna app ndani ya simu inasababisha hivyo. cheki list ya app ulizodownload halafu angalia app usioijua itoe. then angalia kama tatizo litaishaTecno c9 linatoa kwa chini na nikuwasha data tu
mkuu ni kwel kuna app inaitwa LUTU sijui hata limetoka wap kila nkilito baada ya muda imerud tna yenyewe sijui hata nafanyajehao ni malware wa adware kuna app ndani ya simu inasababisha hivyo. cheki list ya app ulizodownload halafu angalia app usioijua itoe. then angalia kama tatizo litaisha
mkuu ni kwel kuna app inaitwa LUTU sijui hata limetoka wap kila nkilito baada ya muda imerud tna yenyewe sijui hata nafanyajeView attachment 414082
Shukrani kwa hili mkuukama unaitoa inarudi yenyewe inamaana hicho ni kitawi tu software mama IPO kwengine kila ukiitoa hio inarudi.
simu za mediatek zina loop app inaweza kujipa root hata kama hujaroot simu, na app ikipata root inaweza kujieka kama system app hivyo hapa hata factory reset Inaweza isisaidie.
solution hapa jaribu hivi
1. kuflash simu kutaondoa hilo tatizo kama alivyosema mdau hapo juu
2. tumia box zenye ant virus, utahitaji PC na uwezo kidogo wa kutumia computer google miracle box crack download zima ant virus halafu fungua miracle connect simu na PC halafu zima simu, Fanya kama unawasha simu, itakuwa detected kwenye miracle chagua ant virus halafu scan watatolewa