Samsung wazindua simu ya tizen yenye 4g kwa $68

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,263
Reaction score
44,392
kampuni ya samsung leo wamezindua simu yao inayoitwa samsung z2, simu hii haitakuwa na android kama ilivyozoeleka kwa simu za samsung, bali itakuwa na operating system ya samsung wenyewe inayoitwa tizen
samsung-z2.jpg

specs zake
-itakuwa na 4g lte (bands bado sijazijua)
-memory 8gb storage na 1gb ram
-cpu 1.5ghz quad core (probably cortex a7)
-camera 5mp
-kioo 3.97 inches
-na bezel za kutosha

bei yake vs router
dola 68 ni kama 150,000 ya kibongo pengine ikaongezeka kidogo na kama itachukuliwa na mtandao wa simu inaweza shuka zaidi ya hapo. simu hii ni nzuri kwa wale wanaoplan kununua router hivi karibuni wakiwa hawana matumizi makubwa au vifaa vingi vya kuunganisha
 
Wamefanya kitu kizuri maana Mie binafsi honestly android siikubali sababu YA low security na nirahisi kupenyezwa bugs ukilinganisha na operating system nyingine kama ios na windows. I prefer ios Ila price tag ndio tatizo kwangu Ila let them try (samsung) labda wataleta kitu tofauti katika versions zijazo na Wao wawe na independent os.
 
SWALI/WAZO KWA CHIEF-MKWAWA:
Samahan mkuu maana jambo hili ni kama Uzi mwngne. Mimi sajasomea It but Nko very interested na hyo mambo. Wazo/swali langu ni kwamba je kuna ugumu gani haswa kwetu wabongo kudevelop os let say YA simu labda. Nina idea ya kuunda simu smart one na sijui strength na weakness YA idea hii practically ingawa natumia mda ninapokuwa free kudesign hasa kwa kuchora na kuandika (sio kwa code) mfumo wa simu na menyu yake na baadhi YA Apps kama tatu hv. Najua kuunda os inatakiwa ku intergrate losts of vijidudu vya software na hardware na ni ngumu kufanya idea iwe hai but still wazo lipo kichwan. Mkuu wazo lako plz labda hii kitu ni impossible hapa kwetu nijuze tafadhali may b ntapata wazo la kitu kingine kabisa.
Natanguliza shukrani
 
man power ipo ila mtu wa kuwaweka pamoja na kuwalipa/kuwafadhili ndio hakuna.

ili kutengeneza os kunahitaji hela sana na watu wengi, kuanzia hao madevelopers, designers (kama wewe unavyosema), wanasheria, engineers etc

kama unapenda kudesign unaweza tu ukaanza kutengeneza themes/walpaper/lockscreen simu
 
Yaaap ni ubunifu mzuri sana.
Kwa sasa cheapest 4g LTE android phone ni TECNO W3 LTE ambayo ni 180000tsh kwenye maduka ya kariakoo...
 
Aisee wailete haraka sokon watauza saana kwa bei hiyooo....
 
tatizo upatikanaji wa applications.
sijui kama store yao itakuwa na apps pendwa kama ilivyo android na ios.
 
kampuni ya samsung leo wamezindua simu yao inayoitwa samsung z2, simu hii haitakuwa na android kama ilivyozoeleka kwa simu za samsung, bali itakuwa na operating system ya samsung wenyewe inayoitwa tizen
samsung-z2.jpg

specs zake
-itakuwa na 4g lte (bands bado sijazijua)
-memory 8gb storage na 1gb ram
-cpu 1.5ghz quad core (probably cortex a7)
-camera 5mp
-kioo 3.97 inches
-na bezel za kutosha

bei yake vs router
dola 68 ni kama 150,000 ya kibongo pengine ikaongezeka kidogo na kama itachukuliwa na mtandao wa simu inaweza shuka zaidi ya hapo. simu hii ni nzuri kwa wale wanaoplan kununua router hivi karibuni wakiwa hawana matumizi makubwa au vifaa vingi vya kuunganisha
Kwenye store ya Tizen ya apps kuna apps zinazohitajika na wengi kama Whatsapp? Maana kwa hapa Tz (nadhani na nchi nyingi za sub-sahara) kuna watu wengi ambao wao hitaji lao kwenye smartphone ni Whatsapp tu, yaani hawajui kuhusu android, iOS wala Windows mobile. Simu ikiwa na Whatsapp au anaweza kuiweka whatsapp kwenye hiyo simu basi.
Na wengine wanaponunua simu wao wanachojua ni kwamba wananunua simu ya Samsung, hawajui android.
Kwa hiyo (kuna) mtu atauliza naweza kuweka Whatsapp? Hatouliza ina-run OS gani, yeye kwa kuwa ameshaona Samsung basi.
 
Hahahahaaa.

You made my day buddy.

Lol.
 
tizen inakubali apps za android
 
Katika pitapita zangu huko mitandaoni inasemekana hizi ni hatua za mwanzo za Samsung kwani ina mpango wa kuachana na Android siku za baadaye.
Pia kuna mtu mwingine akaja na hoja kama hiyo akisema hata Nokia wanarudi wakiwa na android halafu baadae wataiacha taratibu kwa kuwa watakuwa wamesharudisha jina lao sokoni.
 
tatizo upatikanaji wa applications.
sijui kama store yao itakuwa na apps pendwa kama ilivyo android na ios.
app sio tatizo inakubali apps za android na tizen ni nyepesi na ipo smooth, tizen ni kama meego, sailfish, maemo, moblin etc zinabase na kitu kimoja.

tatizo ni zile customization za android humu ni ngumu mfano kitu kama keyboard huwezi badili,
 
Mkuu naomba contacts zako nina shida naww
 
kampuni ya samsung leo wamezindua simu yao inayoitwa samsung z2, simu hii haitakuwa na android kama ilivyozoeleka kwa simu za samsung, bali itakuwa na operating system ya samsung wenyewe inayoitwa tizen
samsung-z2.jpg

specs zake
-itakuwa na 4g lte (bands bado sijazijua)
-memory 8gb storage na 1gb ram
-cpu 1.5ghz quad core (probably cortex a7)
-camera 5mp
-kioo 3.97 inches
-na bezel za kutosha

bei yake vs router
dola 68 ni kama 150,000 ya kibongo pengine ikaongezeka kidogo na kama itachukuliwa na mtandao wa simu inaweza shuka zaidi ya hapo. simu hii ni nzuri kwa wale wanaoplan kununua router hivi karibuni wakiwa hawana matumizi makubwa au vifaa vingi vya kuunganisha
 
Mkuu naomba unisaidie simu yang nashindwa kuinstall apps kwa kuw inasema unsufficient space na nmejaribu kwenda kwenye setting ili nifanye installation kwenye sd card lkini hiyo option option hakuna je kuna namna yoyote naweza fanya nkafanikiwa kama ipo naomba
simu yangu ni samsung galaxy y
 
njia rahisi ni kufuta hivyo vitu ambavyo vipo ndani ya internal storage au vihamishe
 
Back
Top Bottom