Msaada wa ku recover Documents,files na Picha kwenye Hard Drive

Msaada wa ku recover Documents,files na Picha kwenye Hard Drive

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2008
Posts
2,268
Reaction score
338
Habari wana JF
Kwa bahati mbaya nili format Hard drive yangu ,nikaitoa na kuweka nyingine mpya kwenye laptop,kwa sasa nataka kuitumia kama external hard drive,na ninataka ku recover documents, picha na mafaili yote, je nitumie software gani kuweza ku recover vyote hivyo?

Natanguliza shukrani zangu kwa msaada utakao weza kupatikana kwa haraka.
 
😕Umeformat? Duh sidhani kama utayapata hayo mafile mkuu. Kama ni recovery, where to recover from?:what:

Ngoja waje walionizidi ujuzi:what:
 
Habari wana JF
Kwa bahati mbaya nili format Hard drive yangu ,nikaitoa na kuweka nyingine mpya kwenye laptop,kwa sasa nataka kuitumia kama external hard drive,na ninataka ku recover documents, picha na mafaili yote, je nitumie software gani kuweza ku recover vyote hivyo?

Natanguliza shukrani zangu kwa msaada utakao weza kupatikana kwa haraka.
TUMIA easeUS recovery haijawahi kunidisiappoint...utaipenda kwa kweli
 
Habari wana JF
Kwa bahati mbaya nili format Hard drive yangu ,nikaitoa na kuweka nyingine mpya kwenye laptop,kwa sasa nataka kuitumia kama external hard drive,na ninataka ku recover documents, picha na mafaili yote, je nitumie software gani kuweza ku recover vyote hivyo?

Natanguliza shukrani zangu kwa msaada utakao weza kupatikana kwa haraka.

Tumia recuva pirifom ni noma. Yaani imenisaidia sana ku recover data. Nimei Run kwenye pc yangu ya mtumba nikapata data za watu hadi raha. NimeRun kwenye memory stick ya camera yangu ikarudisha picha za long time ingawa nilishaiformat
 
Kwakweli hapo sijajua jaribu kwenye torrent mie nilipoteza terrabyte moja ya data kwa laptop nilikuwa siijui hiyo ndio akanifanyia jamaa mmoja ilikuwa imechange partition table kwenda gpt na ikawa inadai iformatiwe jamaa kaformat partition zote kisha kaanza michakato yake nimeiamini kushinda maelezo easeuse sio kitu trust me coz nilianza nayo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndio maana inashauriwa kila unapotaka kujaribu kitu haswa kwa kuchezea hard drive ni muhimu ku back-up data unazotaka zisipotee kwanza.

Hata kama unajua vipi unalofanya, ni muhimu kwa external hard drive au flash drive, cd, etc
 
Ukiwa na hiren boot cd ina kila kitu mpaka hiyo iCare inakuwa na crack yake so mambo ni kuwa na hiren cd kuanzia version 15 hivi
 
Tumia comand prompt au bonyeza "alt" plus "R" kwenye keyboard ya pc yako then uitafute hyo command prompt
 
Back
Top Bottom