Msaada kuhusu window please

Msaada kuhusu window please

kim prince msofe

Senior Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
154
Reaction score
44
Hivi mfano my computer iko compatible with window xp afu nikaipiga window 7 au 8 itakubali au????
 
Poa Kaka hivi ndani ya window cindio unakuta na hizi Microsoft office maana mi cio mwenyeji sana wa hizi window
hapana, baada ya kuweka windows mpya, ndio utaanza kuinstall hizo kina- microsoft office
 
kwa uelewa wangu mdogo kwenye mambo ya pc, hapo naona inafaa windows XP.
ukitaka win 7, 8 na kuendelea RAM iwe 1GB, 2GB au zaidi.
Ahsante hivi kweny xp ukishaiweka unaikuta na software kama Microsoft office zile au??
 
Itakubali sema kama Ram ni less then two Gbs itakuwa nzito, pia kingine itasumbuliwa na drivers za sound and internet
 
Back
Top Bottom