Boom J8 inagoma kucheza video za Whatsupp

Boom J8 inagoma kucheza video za Whatsupp

ngivingivi

Senior Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
189
Reaction score
109
Simu inagoma kucheza video zinazotumwa Whatsupp tu, lkn kwenye kwengine hamna shida. Msaada please
 
unatumia video player gani? download mxplayer playstore halafu play hizo video na mxplayer
 
Niliwahi kupata hiyo shida. Fungulia hizo video kutoka kwenye media. Unakuwa kama una-view media zote ulizotumiwa kisha unaicheza, usizicheze moja kwa moja kutoka kwenye ujumbe.
 
Jaribu ya media player pia, ila kwangu mara tu baada ya ku-update WhatsApp hilo tatizo lilipotea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom