God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Wakuu naombeni mnifahamishe hivi vyombo vinakaaje huko juu bila kuwekwa mafuta na marekebisho mengine ili viizunguke dunia na kusaidia mawasiliano hapa duniani.
Ni kwamba huwa zinashushwa zinajazwa mafuta na repair pale palipo na kasoro halafu zinarushwa tena?
Zina battery huko juu ya kuziweka zizunguke kwa mda fulani au vipi?
Nasikia kutengeneza satellite ni gharama sana, kuirusha huko juu na kuiweka kwenye orbit yake na kuweka zile kamera za kuchukua picha huku duniani ni jambo lingine linalokula pesa nyingi sana!
vipi muda wao wa kuharikiba zinashushwa au zinapotezewa huko juu?
Haziwezi kuharibwa na maadui?
Zinatengenezwa kwa madini gani?
Naskia hata makampuni binafsi yanamiliki privately ili kufanya secured communication!
Tubadilishane mawazo wana JF tujue mambo yanavyokwenda hapa duniani upande huu wa teknolojia.
Msaada plz
UPDATES...
Wale wanaopenda kujifunza teknolojia mbali mbali pitieni hii blog! ni nzuri sana, author anajua kupembua vitu kwa utaalamu wa hali ya juu.
Dunia Yetu ni mtandao mzuri sana kwanzia sasa hivi ntakua nausoma.
ELIMU ZAIDI KUHUSU SATELLITE PITIA HAPA.
Dunia Yetu: MAWASILIANO YA SATELAITI
IDADI YA SATELLITE KWA MWAKA HUU.
Pitia hii link hapa
How many satellites are orbiting the Earth in 2016? | Pixalytics Ltd